Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 5

18 Lk 16:17;21:33Kwa maana, amin,5:18 Amin: tazama 2 Kor 1:20 na Ufu 3:14. Maana yake ni Ni hakika, au Ni kweli hasa nisemayo. Hilo ni neno la Kiaramu lisilofasiriwa kwa Kigiriki. Ni neno lililotamkwa, kwa lugha iyo hiyo ya Kiaramu, na Yesu Kristo mwenyewe. Litumiwapo mwisho wa sala, maana yake ni Na iwe hivyo. nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também