Kuhusu uzinzi
27 Kut 20:14;Kum 5:18Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; 28 Ayu 31:1;2 Pet 2:14lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.