Kuwahukumu wengine
1 Rum 2:1;1 Kor 4:5Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi. 2 Mk 4:24Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.