14 Hes 14:9;Kum 1:29;10:17;Ayu 37:22;Ebr 12:20,21,28,29;2 Sam 10:12Baada ya kuona haya nilisimama nikawaambia wakuu, maofisa, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, wana wenu, binti zenu, wake zenu, na nyumba zenu.
Publicidade