Pular para o conteúdo
Publicidade

Hesabu 14

33 Mdo 7:36;Zab 107:40;Kum 2:14Kisha watoto wenu watakuwa wachungaji jangwani muda wa miaka arubaini nao watauchukua mzigo wa uasherati wenu, hadi maiti zenu zitakapoangamia jangwani. 34 Hes 13:25;Zab 95:10;Eze 4:6;1 Fal 8:56;Zab 77:8;Ebr 4:1Kwa jumla ya hizo siku mlizoipeleleza ile nchi, yaani, siku arubaini kila siku kuhesabiwa mwaka, mtayachukua maovu yenu, ndiyo miaka arubaini, nanyi mtakujua kuchukizwa kwangu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também