Vishada katika nguo
37 Kisha BWANA akasema na Musa, na kumwambia, 38 Kum 22:12;Mt 9:20;23:5;Lk 8:43,44Nena na wana wa Israeli, na kuwaagiza ya kwamba wajifanyie vishada katika ncha za nguo zao, katika vizazi vyao, tena ya kwamba watie katika kila kishada cha kila ncha nyuzi za rangi ya buluu; 39 Kum 29:19;Ayu 31:7;Yer 9:14;Eze 6:9;Law 26:15,16;Zab 73:27;106:39;Hos 2:2;Yak 4:4nacho kitakuwa kwenu ni kishada, ili mpate kukiangalia, na kuyakumbuka maagizo yote ya BWANA, na kuyafanya; tena ili msiende kutangatanga kufuata mioyo yenu wenyewe, na macho yenu wenyewe, ambayo mlikuwa mkiyaandama kwa uasherati hapo kwanza; 40 Law 11:44,45;Mt 5:48;Rum 12:1;Kol 1:22;1 The 5:8;1 Pet 1:15ili mpate kukumbuka na kuyafanya maagizo yangu yote, na kuwa watakatifu kwa Mungu wenu. 41 Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.