46 Law 10:6;Hes 1:53;11:33;18:5;Yos 7:1;22:18;1 Sam 6:19;2 Sam 24:1;Zab 106:29;1 Nya 27:24Musa akamwambia Haruni, Haya, shika chetezo chako, ukatie moto ndani yake, moto wa madhabahuni, kisha utie na uvumba juu ya moto, ukakichukue haraka, uende nacho katika huo mkutano, ukawafanyie upatanisho; kwa kuwa ghadhabu imetoka kwa BWANA; hiyo tauni imeanza. 47 Basi Haruni akakishika chetezo kama Musa alivyonena, akapiga mbio akaenda katikati ya mkutano; na tazama, tauni ilikuwa imeanza kati ya watu; akatia uvumba juu ya moto na kufanya upatanisho kwa ajili ya hao watu. 48 2 Sam 24:16,17,25;Ayu 33:24;Zab 106:30;Mt 20:28;1 The 1:10;Ebr 7:24;Yak 5:16Akasimama kati ya hao waliokufa na hao waliokuwa wangali hai; tauni ikazuiwa.
Hesabu 16:46-48
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
46 Kisha Musa akamwambia Haruni, "Chukua chetezo chako na uweke uvumba ndani, pamoja na moto kutoka madhabahuni, nawe uende haraka kwenye kusanyiko ili kufanya upatanisho kwa ajili yao. Ghadhabu imekuja kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na tauni imeanza." 47 Hivyo Haruni akafanya kama Musa alivyosema, akakimbilia katikati ya kusanyiko. Tauni ilikuwa tayari imeanza miongoni mwa watu, lakini Haruni akafukiza uvumba na kufanya upatanisho kwa ajili yao. 48 Haruni akasimama kati ya waliokuwa hai na waliokufa, nayo tauni ikakoma.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
46 Kisha Mose akamwambia Aroni, "Chukua chetezo chako na uweke uvumba ndani yake, pamoja na moto kutoka madhabahuni, nawe uende haraka kwenye kusanyiko ili kufanya upatanisho kwa ajili yao. Ghadhabu imekuja kutoka kwa Bwana, na tauni imeanza." 47 Hivyo Aroni akafanya kama Mose alivyosema, akakimbilia katikati ya kusanyiko. Tauni ilikuwa tayari imeanza miongoni mwa watu, lakini Aroni akafukiza uvumba na kufanya upatanisho kwa ajili yao. 48 Aroni akasimama kati ya waliokuwa hai na waliokufa, nayo tauni ikakoma.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.