Publicidade

Números 25

10 Kisha BWANA akanena na Musa, akamwambia, 11 Zab 106:30;Kut 20:5;Zab 78:53;Nah 1:2;Sef 1:13Finehasi, mwana wa Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, amezigeuza hasira zangu zisiwe juu ya wana Wa Israeli, kwa kuwa alikuwa na wivu kati yao kwa wivu wangu mimi, hata nisiwaangamize wana wa Israeli katika wivu wangu. 12 Mal 3:1Basi kwa hiyo, sema, Tazama, nampa yeye agano langu la amani; 13 1 Nya 6:4;Kut 40:15;Mdo 22:3tena kwake yeye, na kizazi chake baada yake, litakuwa agano la ukuhani wa milele; kwa sababu alikuwa na wivu kwa ajili ya Mungu wake, na kuwafanyia upatanisho wana wa Israeli.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-