5 Kut 26:31;36:35;Law 16:2;2 Nya 3:14;Mt 27:51;Ebr 9:3;Kut 25:10,16hapo watakapoanza safari, Haruni ataingia ndani, na wanawe, nao watalishusha pazia la sitara, na kulifunika sanduku la ushahidi4:5 Kut 25:16: Kisha tia ndani ya sanduku huo ushuhuda nitakaokupa. kwa hilo pazia; 15 Hes 7:9;10:21;Kum 31:9;2 Sam 6:13;1 Nya 15:2,15;2 Sam 6:6,7;1 Nya 13:9,10;Hes 3:31Na Haruni na wanawe watakapokwisha kupafunika mahali patakatifu, na vyombo vyote vya mahali patakatifu, hapo watakapong’oa kambi; baadaye, wana wa Kohathi watakuja kuvichukua; lakini wasiviguse vile vitu vitakatifu, wasife. Vyombo vile ni mzigo wa wana wa Kohathi katika hema ya kukutania.
24 Huu ni utumishi wa jamaa za Wagershoni, katika kutumika na katika kuchukua mizigo;
31 Hes 3:36,37;Kut 26:15;27:9-19Na mausia ya mzigo wao ni haya, kwa utumishi wao wote katika hema ya kukutania; mbao za Hema Takatifu, na mataruma yake, na nguzo zake, na vitako vyake;