14 Isa 25:8;26:19;1 The 4:14-17;Ufu 21:4;Rum 11:29;1 Kor 15:55Nitawakomboa kwa nguvu za kaburi; nitawaokoa kutoka kwa mauti; ewe mauti, ya wapi mapigo yako? Ewe kaburi, ku wapi kuharibu kwako? Huruma itafichika machoni mwangu.
Publicidade
Hosea 13:14
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
14 "Nitawakomboa watu hawa kutoka nguvu za kaburi,
nitawakomboa kutoka mautini.
Yako wapi, ee mauti, mateso yako?
Uko wapi, ee Kuzimu13:14 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, yaani Shimo lisilo na mwisho., uharibifu wako?
"Sitakuwa na huruma,
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
14 "Nitawakomboa watu hawa kutoka nguvu za kaburi,
nitawakomboa kutoka mautini.
Yako wapi, ee mauti, mateso yako?
Uko wapi, ee kuzimu, uharibifu wako?
"Sitakuwa na huruma,
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.