Uovu wa Israeli na Yuda
4 Ee Efraimu, nikutendee nini? Ee Yuda, nikutendee nini? Kwa maana fadhili zenu ni kama wingu la asubuhi na kama umande utowekao mapema. 6 Mit 21:3;Zab 50:8;Yn 17:3;Mt 9:13;12:7Maana nataka fadhili wala si sadaka; na kumjua Mungu kuliko sadaka za kuteketezwa.