Hukumu ya Mungu yenye haki
1 Mt 7:1;Lk 6:37;Yn 8:7Kwa hiyo, wewe mtu uwaye yote uhukumuye, huna udhuru; kwa maana katika hayo umhukumuyo mwingine wajihukumu mwenyewe kuwa na hatia; kwa maana wewe uhukumuye unafanya yale yale.