3 Mwa 15:6;Gal 3:6;Yak 2:23Maana Maandiko yasemaje? Abrahamu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa haki. 4 Rum 11:6;Mt 20:7,14Lakini kwa mtu afanyaye kazi, ujira wake hauhesabiwi kuwa ni neema, bali kuwa ni deni. 5 Lakini kwa mtu asiyefanya kazi, bali anamwamini yeye ambaye amhesabia haki asiyekuwa mtauwa, imani yake mtu huyo imehesabiwa kuwa haki.
Warumi 4:3-5
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
3 Kwa maana Maandiko yasemaje? "Ibrahimu alimwamini Mungu, na ikahesabiwa kwake kuwa haki."
4 Basi mtu afanyapo kazi, mshahara wake hauhesabiwi kwake kuwa ni zawadi, bali ni haki yake anayostahili. 5 Lakini kwa mtu ambaye hafanyi kazi na anamtumaini Mungu, yeye ambaye huwahesabia waovu haki, imani yake inahesabiwa kuwa haki.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
3 Kwa maana Maandiko yasemaje? "Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki."
4 Basi mtu afanyapo kazi, mshahara wake hauhesabiwi kwake kuwa ni zawadi, bali ni haki yake anayostahili. 5 Lakini kwa mtu ambaye hafanyi kazi na anamtumaini Mungu, yeye ambaye huwahesabia waovu haki, imani yake inahesabiwa kuwa haki.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.