Pular para o conteúdo
Publicidade

Romanos 8

6 Rum 6:21Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani. 7 Mt 12:34;Yak 4:4;Yn 8:43;12:39Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii. 8 Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu.

Veja também