11 Mit 31:31;Rut 1:14;Lk 5:11,28;14:33;18:29,30;Ebr 11:8,9,24-26Naye Boazi akajibu, akamwambia, Nimeelezwa sana yote uliyomfanyia mkweo, tangu alipokufa mumeo; na jinsi ulivyowaacha baba yako na mama yako, na nchi yako uliyozaliwa, ukawafikia watu usiowajua tangu hapo.