Pular para o conteúdo
Publicidade

Ruthu 4:7,14,17,22

SRUV Swahili Revised Union Version

7 Kum 25:7,9Basi hii ilikuwa desturi zamani za kale katika Israeli, kwa habari ya kukomboa na kubadilishana, ili kuyahakikisha yote; mtu huvua kiatu chake na kumpa mwenziwe; ndivyo walivyohakikisha neno katika Israeli.

14 Lk 1:58;Rum 12:15Nao wale wanawake wakamwambia Naomi, Na ahimidiwe BWANA, asiyekuacha leo ukiwa huna jamaa aliye karibu; jina lake huyu na liwe kuu katika Israeli.

17 Lk 1:58,59Nao wale wanawake waliokuwa jirani zake wakampa jina, wakisema, Naomi amezaliwa mwana; wakamwita jina lake Obedi;4:17 Obedi: Maana yake ni ‘Mtumishi" au "anayehudumu’. yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

22 na Obedi akamzaa Yese; na Yese akamzaa Daudi.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    7 (Basi katika siku za kale huko Israeli, ili kukamilisha tendo la kukomboa na kukabidhiana mali, mmoja huvua kiatu chake na kumpatia mwingine. Hii ilikuwa ni njia ya kuhalalisha mabadilishano katika Israeli.)

    14 Wanawake wakamwambia Naomi: "Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, asiyekuacha bila kuwa na jamaa wa karibu wa kukomboa. Na awe mashuhuri katika Israeli yote!

    17 Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, "Naomi ana mtoto wa kiume." Wakamwita jina Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

    22 Obedi akamzaa Yese,

    na Yese akamzaa Daudi.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    7 (Basi katika siku za kale huko Israeli, ili kukamilisha tendo la kukomboa na kukabidhiana mali, mmoja huvua kiatu chake na kumpatia mwingine. Hii ilikuwa ni njia ya kuhalalisha mabadilishano katika Israeli.)

    14 Wanawake wakamwambia Naomi: "Ahimidiwe Bwana, asiyekuacha bila kuwa na jamaa wa karibu wa kukomboa. Na awe mashuhuri katika Israeli yote!

    17 Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, "Naomi ana mtoto wa kiume." Wakamwita jina lake Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

    22 Obedi akamzaa Yese,

    na Yese akamzaa Daudi.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Rute
Ver todos os capítulos de Rute