7 (Basi katika siku za kale huko Israeli, ili kukamilisha tendo la kukomboa na kukabidhiana mali, mmoja huvua kiatu chake na kumpatia mwingine. Hii ilikuwa ni njia ya kuhalalisha mabadilishano katika Israeli.)
14 Wanawake wakamwambia Naomi: "Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, asiyekuacha bila kuwa na jamaa wa karibu wa kukomboa. Na awe mashuhuri katika Israeli yote!
17 Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, "Naomi ana mtoto wa kiume." Wakamwita jina Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.
22 Obedi akamzaa Yese,
na Yese akamzaa Daudi.