Kusikia na kutenda neno
19 Mhu 7:9Hayo mnajua, ndugu zangu wapenzi. Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema; wala kukasirika; 20 Efe 4:26kwa maana hasira ya mwanadamu haiitendi haki ya Mungu.