Pular para o conteúdo
Publicidade

Obediência aos pais

Por Bíblia Online

A obediência aos pais é mandamento divino com promessa de vida longa. A Bíblia valoriza a honra filial e ensina os filhos a respeitar e obedecer aos pais com amor.

Honrar pai e mãe

O quinto mandamento ordena honrar pai e mãe. É o primeiro mandamento com promessa: para que vá bem e vivas muito na terra.

Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.

Waheshimu baba yako na mama yako; kama BWANA, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.

Kwa kuwa Mungu alisema, Mheshimu baba yako na mama yako, na Amtukanaye baba yake au mama yake kufa na afe.

Watoto na wazazi

Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, maana hii ndiyo haki. Waheshimu baba yako na mama yako; hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi, Upate heri na kuishi siku nyingi katika dunia. Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maagizo ya Bwana.

Obedecer e respeitar

Filhos, obedecei a vossos pais no Senhor. A obediência filial é expressão de amor e temor a Deus.

Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana.

Maonyo juu ya kushirikiana na waovu

Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,

Wala usiiache sheria ya mama yako,

Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako,

Na mikufu shingoni mwako.

Mwanangu, shika maagizo ya baba yako,

Wala usiiache sheria ya mama yako.

Yafunge hayo katika moyo wako daima;

Jivike hayo shingoni mwako.

Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda,

Na uamkapo yatazungumza nawe.

Maana maagizo hayo ni taa, na sheria hiyo ni nuru,

Na maonyo ya kumwadilisha mtu ni njia ya uzima.

Ushauri wa mzazi

Wanangu, yasikilizeni mausia ya baba yenu,

Tegeni masikio mpate kujua ufahamu.

Kwa kuwa nawapa mafundisho mazuri;

Msiiache sheria yangu.

Maana nilikuwa mwana kwa baba yangu,

Mpole, mpenzi wa pekee wa mama yangu.

Naye akanifundisha, akaniambia,

Moyo wako uyahifadhi maneno yangu;

Shika amri zangu ukaishi.

Jipatie hekima, jipatie ufahamu; usiusahau;

Wala usiyakatae maneno ya kinywa changu.

Usimwache, naye atakusitiri;

Umpende, naye atakulinda.

Mwana mwenye hekima husikiliza mausia ya babaye;

Bali mwenye dharau hasikilizi maonyo.

Mlee mtoto katika njia impasayo,

Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.

Disciplina e consequências

A vara e a repreensão dão sabedoria. A Bíblia adverte sobre as consequências sérias da rebeldia e desonra aos pais.

Fimbo na maonyo hutia hekima;

Bali mwana aliyeachiliwa humwaibisha mamaye.

Apotezaye mali za babaye na kumfukuza mamaye,

Ni mwana aaibishaye, na kuleta lawama.

Jicho la mtu amdhihakiye babaye,

Na kudharau kumtii mamaye;

Kunguru wa bondeni wataling’oa,

Na vifaranga vya tai watalila.

Ampigaye baba yake au mama yake, sharti atauawa.

Watoto wasiotii

Mtu akiwa na mwana mkaidi, mshupavu, asiyetii sauti ya baba yake, wala sauti ya mama yake, nao wajapomwadhibu hawasikizi, ndipo babaye na mamaye na wamkamate, na kumpeleka kwa wazee wa mji wake, katika lango la mahali pake; wawaambie wazee wa mji wake, Huyu mwana wetu ni mkaidi, mshupavu, hasikizi sauti yetu; ni mwasherati, tena ni mlevi. Wanaume wote wa mji wake na wamtupie mawe, afe; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako; na Israeli wote watasikia na kuogopa.

Amlaaniye babaye au mamaye,

Taa yake itazimika katika giza kuu.

Ni kwa ajili ya kuonywa mnastahimili; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiyeonywa na babaye?

Lakini mjane akiwa ana watoto au wajukuu, na wajifunze kwanza kuyatenda yaliyo wajibu wao kwa jamaa zao wenyewe, na kuwalipa wazazi wao. Kwa kuwa hili lakubalika mbele za Mungu.

Seja o primeiro