Pular para o conteúdo
Publicidade

Ufunuo 7:16,17

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

16 Kamwe hawataona njaa

wala kiu tena.

Jua halitawapiga

wala joto lolote liunguzalo.

17 Kwa maana Mwana-Kondoo

aliyeko katikati ya kile kiti cha enzi

atakuwa Mchungaji wao;

naye atawaongoza kwenda

kwenye chemchemi za maji yaliyo hai.

Naye Mungu atafuta kila chozi

kutoka macho yao."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    16 Kamwe hawataona njaa

    wala kiu tena.

    Jua halitawachoma

    wala joto lolote liunguzalo.

    17 Kwa maana Mwana-Kondoo

    aliyeko katikati ya kile kiti cha enzi

    atakuwa Mchungaji wao;

    naye atawaongoza kwenda

    kwenye chemchemi za maji yaliyo hai.

    Naye Mungu atawafuta machozi

    kutoka machoni mwao."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    16 Isa 49:10Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala joto iliyo yote. 17 Zab 23:1;Eze 34:23;Zab 23:2;Isa 49:10;25:8;Ufu 5:6;Yer 2:13;31:16Kwa maana huyo Mwana-kondoo, aliye katikati ya kiti cha enzi, atawachunga, naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji yenye uhai, na Mungu atayafuta machozi yote katika macho yao.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.