4 Wakati mmoja alipokuwa pamoja nao, aliwapa amri hii, "Msitoke Yerusalemu, bali ingojeni ahadi ya Baba, ambayo mmenisikia nikisema habari zake. 5 Yohana aliwabatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu."
Yesu Apaa Mbinguni
(Marko 16:19-20; Luka 24:50-53)