4 Wakati mmoja alipokuwa pamoja nao, aliwapa amri hii, "Msitoke Yerusalemu, bali ingojeni ahadi ya Baba1:4 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu., ambayo mmenisikia nikisema habari zake. 5 Yahya aliwabatiza1:5 Ubatizo ni ishara ya kuungama dhambi na kusamehewa na Mwenyezi Mungu, na kuweka nadhiri ya kubadilisha mienendo ya awali. Wafuasi wa Isa Al-Masihi pia wanapokea Roho wa Mungu kama dhibitisho ya imani yao. kwa maji, lakini baada ya siku chache mtabatizwa kwa Roho wa Mungu."
Isa apaa mbinguni
(Marko 16:19-20; Luka 24:50-53)