4 Lk 24:49;Mdo 10:41;Yn 15:26Wakati alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali waingoje ahadi ya Baba, ambayo mlisikia habari zake kutoka kwangu; 5 Mt 3:11;Mk 1:8;Lk 3:16;Yn 1:33ya kwamba Yohana alibatiza kwa maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi chache.
Matendo 1:4,5
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
4 Wakati mmoja alipokuwa pamoja nao, aliwapa amri hii, "Msitoke Yerusalemu, bali ingojeni ahadi ya Baba1:4 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu., ambayo mmenisikia nikisema habari zake. 5 Yahya aliwabatiza1:5 Ubatizo ni ishara ya kuungama dhambi na kusamehewa na Mwenyezi Mungu, na kuweka nadhiri ya kubadilisha mienendo ya awali. Wafuasi wa Isa Al-Masihi pia wanapokea Roho wa Mungu kama dhibitisho ya imani yao. kwa maji, lakini baada ya siku chache mtabatizwa kwa Roho wa Mungu."
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
4 Wakati mmoja alipokuwa pamoja nao, aliwapa amri hii, "Msitoke Yerusalemu, bali ingojeni ahadi ya Baba, ambayo mmenisikia nikisema habari zake. 5 Yohana aliwabatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu."
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.