Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "fé"

114 resultados encontrados

  1. Salmos 52

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 52
    Mostrando versículo 1 de 9

    1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya?Kwa nini unajivuna mchana kutwa,wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu?

  2. Isaías 30

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 30
    Mostrando versículo 3 de 33

    3Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu,kivuli cha Misri kitawaletea fedheha.

  3. Isaías 61

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 61
    Mostrando versículo 7 de 11

    7Badala ya aibu yaowatu wangu watapokea sehemu maradufu,na badala ya fedhehawatafurahia katika urithi wao;hivyo watarithi sehemu maradufu katika nchi yao,nayo furaha ya milele itakuwa yao.

  4. Colossenses 2

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 15 de 23

    15Mungu akiisha kuzivua enzi na mamlaka, alizifanya kuwa kitu cha fedheha hadharani kwa kuziburura kwa ujasiri, akizishinda katika msalaba wa Kristo.

  5. Sofonias 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 18 de 20

    18"Huzuni katika sikukuu zilizoamriwanitaziondoa kwenu;hizo ni mzigo na fedheha kwenu.

  6. Jeremias 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 25 de 25

    25Sisi na tulale chini katika aibu yetu,na fedheha yetu itufunike.Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana Mungu wetu,sisi na mababa zetu;tangu ujana wetu hadi leohatukumtii Bwana Mungu wetu."

  7. Jeremias 23

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 23
    Mostrando versículo 40 de 40

    40Nitaleta juu yako fedheha ya kudumu: yaani aibu ya kudumu ambayo haitasahaulika."

  8. Juízes 17

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 17
    Mostrando versículo 2 de 13

    2Akamwambia mama yake, "Zile shekeli 1,10017:2 Shekeli 1,100 za fedha ni sawa na kilo 13 za fedha. za fedha zilizochukuliwa kwako, ambazo nilisikia ukizinenea maneno ya laana, hizi hapa; mimi ndiye niliyezichukua, lakini sasa ninakurudishia."Ndipo mama yake akamwambia, "Bwana na akubariki, mwanangu."

  9. Esdras 1

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículo 4 de 11

    4Nao watu wa mahali popote wale walionusurika wanapoishi sasa, watu hao wampe fedha na dhahabu, pamoja na vifaa na mifugo, mbali na sadaka za hiari kwa ajili ya Hekalu la Mungu huko Yerusalemu.’ "

  10. 2 Reis 12

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículo 4 de 21

    4Yoashi akawaambia makuhani, "Kusanyeni fedha zote ambazo zitaletwa kama sadaka takatifu kwenye Hekalu la Bwana, yaani fedha zilizokusanywa kama kodi, fedha zilizopokelewa kutokana na nadhiri za watu binafsi, na fedha zilizoletwa kwa hiari hekaluni.

  11. Oséias 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 2 de 5

    2Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano3:2 Shekeli 15 za fedha ni sawa na gramu 170. za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu3:2 Homeri moja na nusu ni kama lita 330. ya shayiri.

  12. Jó 27

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 27
    Mostrando versículo 5 de 23

    5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi;hadi nife, sitakana uadilifu wangu.

  13. Gênesis 23

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 23
    Mostrando versículo 13 de 20

    13akamwambia Efroni wale watu wakiwa wanasikia, "Tafadhali nisikilize. Nitakulipa fedha za hilo shamba. Kubali kuzipokea ili niweze kumzika maiti wangu."

  14. Cânticos 8

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 9 de 14

    9Kama yeye ni ukuta,tutajenga minara ya fedha juu yake.Na kama yeye ni mlango,tutamzungushia mbao za mierezi.Mpendwa

  15. Cânticos 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 10 de 11

    10Nguzo zake alizitengeneza kwa fedha,kitako chake kwa dhahabu.Kiti chake kilipambwa kwa zambarau,gari lake likanakshiwa njumu kwa upendona binti za Yerusalemu.

  16. 2 Crônicas 27

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 27
    Mostrando versículo 3 de 9

    3Yothamu akajenga upya Lango la Juu la Hekalu la Bwana na kufanya kazi kubwa kwenye ukuta katika kilima cha Ofeli.

  17. Mateus 28

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 28
    Mostrando versículo 12 de 20

    12Baada ya viongozi wa makuhani kukutana na wazee na kutunga hila, waliwapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha

  18. Êxodo 38

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 38
    Mostrando versículo 10 de 31

    10pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.

  19. Zacarias 13

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículo 3 de 9

    3Ikiwa yupo yeyote atakayeendelea kutabiri, baba yake na mama yake waliomzaa watamwambia, ‘Ni lazima ufe, kwa sababu umesema uongo kwa jina la Bwana.’ Atakapotabiri, wazazi wake mwenyewe watampasua tumbo.

  20. João 2

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 14 de 25

    14Huko Hekaluni aliwakuta watu wakiuza ngʼombe, kondoo na njiwa, nao wengine walikuwa wameketi mezani wakibadili fedha.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo