2Na akutumie msaada kutoka patakatifuna akupatie msaada kutoka Sayuni.
5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda,tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu.Bwana na akupe haja zako zote.
9Ee Bwana, mwokoe mfalme!Tujibu tunapokuita!
64 resultados encontrados
2Na akutumie msaada kutoka patakatifuna akupatie msaada kutoka Sayuni.
5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda,tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu.Bwana na akupe haja zako zote.
9Ee Bwana, mwokoe mfalme!Tujibu tunapokuita!
2mbele ya Efraimu, Benyamini na Manase.Uamshe nguvu zako,uje utuokoe.
3Ee Mungu, uturejeshe,utuangazie uso wako,ili tuweze kuokolewa.
14Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote!Tazama chini kutoka mbinguni na uone!Linda mzabibu huu,
17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu,licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa.
19ili awaokoe na mauti,na kuwahifadhi wakati wa njaa.
21Mioyo yetu humshangilia,kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.
2Nafsi yangu inamwonea Mungu kiu, Mungu aliye hai.Ni lini nitaweza kwenda kukutana na Mungu?
5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka?Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu?Weka tumaini lako kwa Mungu,kwa sababu bado nitamsifu,Mwokozi wangu na
11Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka?Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu?Weka tumaini lako kwa Mungu,kwa sababu bado nitamsifu,Mwokozi wangu na Mungu wangu.