1"Kuna machimbo ya fedha,na mahali dhahabu isafishwapo.
Resultados da busca por "fé"
126 resultados encontrados
- Capítulo 28
Jó 28
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 1 de 28 - Capítulo 43
Gênesis 43
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 8 de 348Ndipo Yuda akamwambia baba yake Israeli, "Mtume kijana pamoja nami, nasi tutaondoka mara, ili sisi na wewe pamoja na watoto wetu tuweze kuishi, wala tusife.
- Capítulo 11
Êxodo 11
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 2 de 102Waambie watu wote waume kwa wake wawaombe majirani zao vitu vya fedha na vya dhahabu."
- Capítulo 23
Atos 23
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 24 de 3524Pia tayarisheni na farasi watakaotumiwa na Paulo, mkampeleke salama kwa mtawala Feliksi."
- Capítulo 18
1 Crônicas 18
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 10 de 1710akamtuma mwanawe, Hadoramu kwa Mfalme Daudi ili kumsalimu na kumpongeza kwa ushindi wake katika vita dhidi ya Mfalme Hadadezeri, kwa kuwa alikuwa amepigana vita mara nyingi na Tou. Hadoramu akamletea Daudi vifaa mbalimbali vya dhahabu, fedha na shaba.
- Capítulo 71
Salmos 71
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 13 de 2413Washtaki wangu na waangamie kwa aibu,wale wanaotaka kunidhuruna wafunikwe kwa dharau na fedheha.
- Capítulo 44
Isaías 44
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 11 de 2811Yeye pamoja na wenziwe wa aina yake wataaibishwa,mafundi wao si kitu ila ni wanadamu tu.Wote wakusanyike pamoja na kuwa na msimamo wao,watashushwa chini kwa hofu na kwa fedheha.
- Capítulo 7
2 Reis 7
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 1 de 201Elisha akasema, "Sikiliza neno la Bwana. Hivi ndivyo asemavyo Bwana: Wakati kama huu kesho, kipimo kimoja7:1 Kipimo kimoja cha unga ni sawa na kilo 3. cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli moja ya fedha,7:1 Shekeli moja ya fedha ni sawa na gramu 11. na vibaba viwili vya shayiri kwa shekeli moja ya fedha katika lango la Samaria."
- Capítulo 1
Cânticos 1
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 11 de 1711Tutakufanyia vipuli vya dhahabu,vyenye kupambwa kwa fedha.Mpendwa
- Capítulo 10
Eclesiastes 10
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 19 de 2019Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,nao mvinyo hufurahisha maisha,lakini fedha ni jawabu la mambo yote.
- Capítulo 9
2 Crônicas 9
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 14 de 3114mbali na mapato yaliyoletwa na wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabuni na watawala wa nchi wakamletea Solomoni dhahabu na fedha.
- Capítulo 7
Ezequiel 7
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 19 de 2719Watatupa fedha yao barabarani, nayo dhahabu yao itakuwa najisi. Fedha yao na dhahabu yao havitaweza kuwaokoa katika siku hiyo ya ghadhabu ya Bwana. Hawatashibisha njaa yao au kujaza matumbo yao kwa hiyo fedha wala dhahabu, kwa sababu imewaponza wajikwae dhambini.
- Capítulo 13
Oséias 13
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 2 de 162Sasa wanatenda dhambi zaidi na zaidi;wanajitengenezea sanamukutokana na fedha yao,vinyago vilivyotengenezwa kwa uhodari,vyote kazi ya fundi stadi.Inasemekana kuhusu hawa watu,"Hutoa dhabihu za binadamuna kubusu sanamu za ndama."
- Capítulo 8
Esdras 8
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 13 de 3613wa wazao wa Adonikamu, hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume 60 pamoja nao;
- Capítulo 25
Provérbios 25
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 4 de 284Ondoa takataka kwenye madini ya fedha,nako ndani yake kutatokea chombocha mfua fedha.
- Capítulo 109
Salmos 109
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 29 de 3129Washtaki wangu watavikwa fedheha,na kufunikwa na aibu kama joho.
- Capítulo 44
Gênesis 44
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 1 de 341Kisha Yosefu akampa yule msimamizi wa nyumbani mwake maagizo haya: "Jaza magunia ya watu hawa kiasi cha chakula ambacho wanaweza kuchukua, na uweke fedha ya kila mtu kwenye mdomo wa gunia lake.
- Capítulo 14
Deuteronômio 14
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 25 de 2925basi badilisheni zaka yenu kuwa fedha, mkaichukue hiyo fedha mwende nayo mahali Bwana Mungu wenu atakapopachagua.
- Capítulo 27
Êxodo 27
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 10 de 2110pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.
- Capítulo 55
Isaías 55
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 1 de 131"Njooni, ninyi nyote wenye kiu,njooni kwenye maji;nanyi ambao hamna fedha,njooni, nunueni na mle!Njooni, nunueni divai na maziwabila fedha na bila gharama.