Pular para o conteúdo
Publicidade

Ezra 3:11

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

11 Waliimba nyimbo za sifa na za shukrani kwa Bwana hivi:

"Yeye ni mwema;

upendo wake kwa Israeli

wadumu milele."

Watu wote wakapaza sauti kubwa za sifa kwa Bwana, kwa sababu msingi wa nyumba ya Bwana ulikuwa umewekwa.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    11 Waliimba nyimbo za sifa na za shukrani kwa Mwenyezi Mungu hivi:

    "Yeye ni mwema;

    upendo wake kwa Israeli

    wadumu milele."

    Watu wote wakapaza sauti kubwa za sifa kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu msingi wa nyumba ya Mwenyezi Mungu ulikuwa umewekwa.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    11 Kut 15:21;2 Nya 7:3;Yer 33:11;Lk 1:50;Zab 136:1Wakaimbiana, wakimhimidi BWANA, na kumshukuru, wakasema, Kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake kwa Israeli ni za milele. Kisha watu wote wakapaza sauti zao, na kupiga kelele, walipomhimidi BWANA, kwa sababu msingi wa nyumba ya BWANA umekwisha kuwekwa.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.