Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 25:23,30

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

23 "Tengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili,25:23 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu. 30 Utaweka mikate ya Wonyesho juu ya meza hii iwe mbele yangu daima.

Kinara Cha Taa

(Kutoka 37:17-24)

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    23 "Tengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili25:23 Dhiraa 2 ni sawa na sentimita 90., upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu. 30 Utaweka mikate ya Wonesho juu ya meza hii iwe mbele yangu daima.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    23 Kut 37:10;1 Fal 7:48;2 Nya 4:8;Ebr 9:2Nawe fanya meza ya mti wa mshita; urefu wake utakuwa dhiraa mbili, na upana wake dhiraa moja, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu. 30 Law 24:5-8Nawe utaiweka mikate ya wonyesho juu ya meza mbele yangu daima.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.