Meza ya mikate iliyowekwa mbele ya Mungu
23 Kut 37:10;1 Fal 7:48;2 Nya 4:8;Ebr 9:2Nawe fanya meza ya mti wa mshita; urefu wake utakuwa dhiraa mbili, na upana wake dhiraa moja, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu. 30 Law 24:5-8Nawe utaiweka mikate ya wonyesho juu ya meza mbele yangu daima.