23 "Tengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili25:23 Dhiraa 2 ni sawa na sentimita 90., upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu. 30 Utaweka mikate ya Wonesho juu ya meza hii iwe mbele yangu daima.
Kinara cha taa
(Kutoka 37:17-24)