Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 3:13,14

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

13 Mose akamwambia Mungu, "Ikiwa nitawaendea Waisraeli na kuwaambia, ‘Mungu wa baba zenu amenituma kwenu,’ nao wakiniuliza, ‘Jina lake ni nani?’ Nitawaambia nini?"

14 Mungu akamwambia Mose, "Mimi niko ambaye niko. Hivyo ndivyo utakavyowaambia Waisraeli: ‘Mimi niko amenituma kwenu.’ "

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    13 Musa akamwambia Mungu, "Ikiwa nitawaendea Waisraeli na kuwaambia, ‘Mungu wa baba zenu amenituma kwenu,’ nao wakiniuliza, ‘Jina lake ni nani?’ Nitawaambia nini?"

    14 Mungu akamwambia Musa, "Mimi niko ambaye niko3:14 au Nitakuwa kama Nitakavyokuwa; au, Mimi Ndiye. Hivyo ndivyo utakavyowaambia Waisraeli: ‘Mimi niko amenituma kwenu.’ "

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    13 Kut 6:2-3;Mwa 32:29Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake ni nani? Niwaambie nini? 14 Ufu 1:4,8;Kut 6:3;Yn 8:58;Ebr 13:8Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;3:14 Au, Nitakuwa kama Nitakavyokuwa; au, Ndimi Ndiye. akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO3:14 Au, Nitakuwa; au, Ndimi. amenituma kwenu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.