17 jifunzeni kutenda mema!
Tafuteni haki,
watieni moyo walioonewa.
Teteeni shauri la yatima,
wateteeni wajane.
17 jifunzeni kutenda mema!
Tafuteni haki,
watieni moyo walioonewa.
Teteeni shauri la yatima,
wateteeni wajane.
17 Jifunzeni kutenda mema, tafuteni haki.
Wateteeni waliodhulumiwa.
Teteeni shauri la yatima,
wateteeni wajane.
17 Mik 6:8jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mjane.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.