Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 30:18

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

18 Hata hivyo Bwana anatamani kutupatia neema,

anainuka ili kuwaonyesha huruma.

Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa haki.

Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye!

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    18 Hata hivyo Mwenyezi Mungu anatamani kutupatia neema,

    anainuka ili kuwaonesha huruma.

    Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni Mungu wa haki.

    Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye!

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    18 2 Pet 3:9;Zab 2:12;Mit 16:20;Yer 17:7Kwa ajili ya hayo BWANA atangoja, ili awaonee huruma, na kwa ajili ya hayo atatukuzwa, ili awarehemu; kwa maana BWANA ni Mungu wa hukumu; heri wote wamngojao.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.