Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 38:7,8

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

7 " ‘Hii ndiyo ishara ya Bwana kwako ya kwamba Bwana atafanya kile alichoahidi: 8 Nitafanya kivuli cha jua kwenye ngazi iliyojengwa na Ahazi kirudi nyuma madaraja kumi.’ " Hivyo jua likarudi nyuma madaraja kumi ambayo lilikuwa limeshuka.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    7 " ‘Hii ndiyo ishara ya Mwenyezi Mungu kwako kwamba Mwenyezi Mungu atafanya kile alichoahidi: 8 Nitafanya kivuli cha jua kwenye ngazi iliyojengwa na Ahazi kirudi nyuma madaraja kumi.’ " Hivyo jua likarudi nyuma madaraja kumi ambayo lilikuwa limeshuka.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    7 2 Fal 20:8;Isa 37:30Jambo hili liwe ishara kwako, itokayo kwa BWANA, ya kuwa BWANA atalitimiza jambo hili alilolisema; 8 Tazama, nitakirudisha nyuma kivuli madaraja kumi, ambayo kilishuka juu ya duara ya Ahazi kwa sababu ya jua. Basi jua likarudi madaraja kumi katika hiyo duara, ambayo limekwisha kushuka.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.