Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 40:29-31

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

29 Huwapa nguvu waliolegea

na huongeza nguvu za wadhaifu.

30 Hata vijana huchoka na kulegea,

nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka,

31 bali wale wamtumainio Bwana

atafanya upya nguvu zao.

Watapaa juu kwa mbawa kama tai;

watapiga mbio wala hawatachoka,

watatembea kwa miguu wala hawatazimia.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    29 Huwapa nguvu waliolegea

    na huongeza nguvu za wadhaifu.

    30 Hata vijana huchoka na kulegea,

    nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka,

    31 bali wale wamtumainio Mwenyezi Mungu

    atafanya upya nguvu zao.

    Watapaa juu kwa mabawa kama tai;

    watapiga mbio wala hawatachoka,

    watatembea kwa miguu wala hawatazimia.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. 30 Hata vijana watazimia na kuchoka, na vijana wanaume wataanguka; 31 Ayu 17:9;Zab 25:3;Isa 8:17;Omb 3:25;2 Kor 4:8-10,16bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watakimbia, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.