14 Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu,
ee Israeli uliye mdogo,
kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia," asema Bwana,
Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.

kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,"
asema Mwenyezi Mungu,
Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
14 Ayu 19:25Usiogope, Yakobo uliye mdudu, nanyi watu wa Israeli; mimi nitakusaidia, asema BWANA, na mkombozi wako ni Mtakatifu wa Israeli.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.