Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaías 43

6 Nitaiambia kaskazini, Watoe!

nayo kusini, Usiwazuie.

Walete wana wangu kutoka mbali,

na binti zangu kutoka miisho ya dunia:

7 kila mmoja ambaye ameitwa kwa Jina langu,

niliyemuumba kwa utukufu wangu,

niliyemhuluku na kumfanya."

Veja também