3 Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu,
na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka;
nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako,
nayo baraka yangu juu ya wazao wako.

nitamimina Roho wangu Mtakatifu juu ya watoto wako,
nayo baraka yangu juu ya wazao wako.
3 Mal 3:10;Yn 7:38Kwa maana nitamimina maji juu yake aliye na kiu, na vijito vya maji juu ya mahali pakavu; nitamwaga roho yangu juu ya wazao wako, na baraka yangu juu yao utakaowazaa;
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.