Ni Bwana, Siyo Sanamu
6 "Hili ndilo asemalo Bwana,
Mfalme wa Israeli na Mkombozi,
Bwana Mwenye Nguvu Zote:
Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho;
zaidi yangu hakuna Mungu.
6 "Hili ndilo asemalo Bwana,
Mfalme wa Israeli na Mkombozi,
Bwana Mwenye Nguvu Zote:
Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho;
zaidi yangu hakuna Mungu.
6 "Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu,
Mfalme wa Israeli na Mkombozi,
Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni:
Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho;
zaidi yangu hakuna Mungu.
6 Isa 48:12;43:1;41:4;Ufu 1:8,17;2:8;22:13BWANA, Mfalme wa Israeli, Mkombozi wako, BWANA wa majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.