Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaías 55

8 "Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu,

wala njia zenu si njia zangu,"

asema Bwana.

9 "Kama vile mbingu zilivyo juu kuliko dunia,

ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zenu

na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.

Veja também