Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 6:6,7

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

6 Ndipo mmoja wa wale maserafi akaruka kunijia akiwa na kaa la moto linalowaka mkononi mwake, ambalo alikuwa amelichukua kwa koleo kutoka madhabahuni. 7 Akanigusa nalo kinywa changu na kusema, "Tazama, hili limegusa midomo yako, uovu wako umeondolewa, nayo dhambi yako imesamehewa."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Ndipo mmoja wa wale maserafi akaruka kunijia akiwa na kaa la moto linalowaka mkononi mwake, ambalo alikuwa amelichukua kwa koleo kutoka madhabahuni. 7 Akanigusa nalo kinywa changu na kusema, "Tazama, hili limegusa midomo yako, uovu wako umeondolewa, nayo dhambi yako imesamehewa."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Law 16:12;Ebr 13:10Kisha mmoja wa maserafi wale akaruka akanikaribia; naye alikuwa na kaa la moto mkononi mwake, ambalo alikuwa amelitwaa kwa makoleo toka juu ya madhabahu; 7 akanigusa kinywa changu kwa kaa hilo, akaniambia, Tazama, hili limekugusa midomo yako, na uovu wako umeondolewa, na dhambi yako imefunikwa.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.