4 Lakini Yesu aliposikia hayo, akasema, "Ugonjwa huu hautaleta mauti bali umetokea ili kudhihirisha utukufu wa Mungu, ili Mwana wa Mungu apate kutukuzwa kutokana na ugonjwa huu." 5 Pamoja na hivyo, ingawa Yesu aliwapenda Martha, Maria na Lazaro ndugu yao,
15 Hata hivyo nafurahi kwa kuwa sikuwepo huko kabla ya Lazaro kufa, ili mpate kuamini. Lakini sasa twendeni kwake."
Yesu Ndiye Ufufuo Na Uzima
17 Yesu alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne.
21 Martha akamwambia Yesu, "Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa.
35 Yesu akalia machozi.