4 Yn 9:3Naye Yesu aliposikia, alisema, Ugonjwa huu si wa mauti, bali ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu, ili Mwana wa Mungu atukuzwe kwa huo. 5 Naye Yesu alimpenda Martha na dada yake na Lazaro. 15 Zek 9:9Nami nafurahi kwa ajili yenu kwamba sikuwako huko, ili mpate kuamini; lakini na twendeni kwake.
Yesu aliye ufufuo na uzima
17 Basi Yesu alipofika, alimkuta amekwisha kuwamo kaburini yapata siku nne. 21 Yn 3:32Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.
35 Lk 19:41Yesu akalia machozi.