Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 5:17,18

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

17 Yesu akawajibu, "Baba yangu anafanya kazi yake daima hata siku hii ya leo, nami pia ninafanya kazi." 18 Maneno haya yaliwaudhi sana viongozi wa Wayahudi. Wakajaribu kila njia wapate jinsi ya kumuua, kwani si kwamba alivunja Sabato tu, bali alikuwa akimwita Mungu Baba yake, hivyo kujifanya sawa na Mungu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    17 Isa akawajibu, "Baba5:17 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu. yangu anafanya kazi yake daima hata siku hii ya leo, nami pia ninafanya kazi." 18 Maneno haya yaliwaudhi sana viongozi wa Wayahudi. Wakajaribu kila njia wapate jinsi ya kumuua, kwani si kwamba alivunja Sabato tu, bali alikuwa akimwita Mungu Baba yake, hivyo kujifanya sawa na Mungu.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    17 Yn 9:4Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi. 18 Yn 7:30;10:33Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.

    Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia,

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.