Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 5:38-42

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

38 "Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ 39 Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia. 40 Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. 41 Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili. 42 Mpe yeye akuombaye, wala usimgeuzie kisogo yeye atakaye kukukopa.

Upendo Kwa Adui

(Luka 6:27-28, 32-36)

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    38 "Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ 39 Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia. 40 Mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. 41 Mtu akikulazimisha kwenda maili moja5:41 kama kilomita 1.6, nenda naye maili mbili5:41 kama kilomita 3.2. 42 Mpe yeye akuombaye, wala usimgeuzie kisogo yeye atakaye kukukopa.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    38 Kut 21:24;Law 24:20;Kum 19:21Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino; 39 Lk 6:27-36Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili. Yn 18:22,23;Law 19:1840 1 Kor 6:7Na mtu atakaye kukushitaki na kulichukua shati lako, mwachie na koti pia. 41 Mtu yeyote akikulazimisha mwendo wa maili moja, nenda naye maili mbili. 42 Akuombaye, mpe; naye atakaye kukopa kwako, usimpe kisogo.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.