Publicidade

Números 10

33 Hivyo waliondoka kutoka mlima wa Bwana, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la Bwana liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika. 34 Wingu la Bwana lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini.

35 Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema,

"Ee Bwana, inuka!

Watesi wako na watawanyike;

adui zako na wakimbie mbele zako."

36 Wakati wowote Sanduku liliposimama, alisema,

"Ee Bwana, rudi,

kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika."

Veja também

Publicidade
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-06-22_10-02-25-