12 Bwana na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake."
20 Naye Naomi akamwambia mkwewe, "Bwana ambariki! Hakuacha kuonyesha fadhili zake kwa walio hai na kwa waliokufa." Pia akamwambia, "Huyo mtu ni mmoja wa jamaa yetu wa karibu anayestahili kutukomboa."