Pular para o conteúdo
Publicidade

Ruthu 2:12,20

SRUV Swahili Revised Union Version

12 1 Sam 24:19;Zab 19:11;58:11;Mit 11:18;Mt 5:12;6:1;Lk 6:35;14:12-14;2 Tim 1:18;Ebr 6:10;11:6,26;Zab 17:8;36:7BWANA akujaze kwa kazi yako, nawe upewe thawabu kamili na BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye umekuja kukimbilia chini ya mabawa yake.

20 Law 25:25;Rut 3:10;2 Sam 2:5;Ayu 29:13;2 Tim 1:16;Mit 17:17;Rut 3:9;4:6Naye Naomi akamwambia mkwewe, Na abarikiwe huyo na BWANA, ambaye hakuuacha wema wake, wala kwa hao walio hai wala kwa waliokufa. Kisha Naomi akamwambia, Mtu huyu ni wa ukoo wetu, mmojawapo wa jamaa yetu aliye karibu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    12 Mwenyezi Mungu na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake."

    20 Naye Naomi akamwambia mkwewe, "Mwenyezi Mungu ambariki! Hakuacha kuonesha fadhili zake kwa walio hai na kwa waliokufa." Pia akamwambia, "Huyo mtu ni mmoja wa jamaa yetu wa karibu anayestahili kutukomboa."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    12 Bwana na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake."

    20 Naye Naomi akamwambia mkwewe, "Bwana ambariki! Hakuacha kuonyesha fadhili zake kwa walio hai na kwa waliokufa." Pia akamwambia, "Huyo mtu ni mmoja wa jamaa yetu wa karibu anayestahili kutukomboa."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Rute
Ver todos os capítulos de Rute