12 Mwenyezi Mungu na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake."
20 Naye Naomi akamwambia mkwewe, "Mwenyezi Mungu ambariki! Hakuacha kuonesha fadhili zake kwa walio hai na kwa waliokufa." Pia akamwambia, "Huyo mtu ni mmoja wa jamaa yetu wa karibu anayestahili kutukomboa."