Imani Na Matendo
14 Ndugu zangu, yafaa nini ikiwa mtu atadai kuwa anayo imani lakini hana matendo? Je, imani kama hiyo yaweza kumwokoa? 17 Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa.
18 Lakini mtu mwingine atasema, "Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo."
Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo.
24 Mnaona ya kwamba mtu huhesabiwa haki kwa yale anayotenda wala si kwa imani peke yake.